NJOMBE
Sanjeti wa Polisi SGT Thobis Nyagawa wa Dawati Polisi Jamii akitoa elimu kwa wananchi Mtaa wa Itulike Shuleni juu ya migogoro ya ardhi katika familia mara baada ya wamiliki kufariki na hivyo wanaorithishwa kutoingia tamaa ya kuuza ardhi kabla maelewano ndani ya familia na kuridhiana kuuza ili kuepuka migogoro ambayo imekuwa ikileta chuki, uvunjifu wa amani katika familia na jamii na kupelekea vifo.


Post a Comment