MAGEUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SLAAM


 K

Kuanziahuduma ya watoto wachanga Amana, tiba za kisasa za saratani Ocean Road, upasuaji wa moyo JKCI, hadi ujenzi wa miundombinu MOI na maboresho Muhimbili, Temeke na Mwananyamala Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa inaendelea kuboresha huduma za afya kwa wananchi.


Kamati ya Bunge yaridhishwa na uwekezaji huo, yakisisitiza kuongeza wataalamu, vifaa tiba na kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi.


Post a Comment

Previous Post Next Post