HomeKitaifa RAIS MAGUFULI ATEKELEZA AGIZO LA MAKONDA UKAGUZI WA SILAHA www.habarika24.blogspots.com 18:51 0 Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi.Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza mkuu wa mkoa . Picha na Ikulu.
Post a Comment