TUME YA UCHUNGUZI YAIPA HESHIMA TANZANIA


 

Pongezi hizo zimetolewa katika taarifa ya Kamishna Mkuu wa Baraza la  Haki za Binadamu wa  Umoja wa Mataifa  Volker Turk wakati wakutoa taarifa inayoangazia maeneo yaliyokumbwa na changamoto ya vita na migogoro duniani katika kikao cha 61 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Geneva, Uswisi.


Akizungumza katika kikao hicho, 

Kamishna Turk alisema hatua iliyochukuliwa na Tanzania kuanzisha Tume ya kuchunguza kilichojiri Oktoba 29, kama hatua muhimu inayojali haki za binadamu 


Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani  yaliyotokea Oktoba, 2025 ilianza rasmi majukumu yake Desemba 2025, kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32.


Post a Comment

Previous Post Next Post