Lumumba wa Nyarugusu Wilayani Kasulu kashindwa kusimama dakika 90!


Lumumba wa kuchemsha kutoka kambi ya wakimbizi Nyarugusu wilaya ya Kasulu. Siku ya jana kasimama wima dakika 65 ilipofika dakika ya 75 mvua ikaanza kunyesha akasitisha zoezi na kwenda kuegama mvua.

Post a Comment

Previous Post Next Post