Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, leo Julai, 2025, katika hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 iliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.
Freeman Mbowe ni miongoni mwa viongozi walioshiriki kutoa maoni katika mchakato wa kuandaa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, akiwakilisha chama chake cha CHADEMA, ambapo alituma mwakilishi kuwasilisha maoni hayo kwenye timu ya wataalamu iliyokuwa ikikusanya maoni.
✍️📸 @marikiadrina
Post a Comment