
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed (katikati)akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed (kulia)akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kambi ya JKU Bambi -Kim, Luten Kanal Majaliwa Adam Waziri wakati alipotembelea Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa na Jengo la Ofisi.Katika hafla ya Ufunguzi wa Majengo hayo Bambi Kim .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mkuu wa Jeshi la kujenga Uchumi (JKU)Kanal Makame Abdalla Daima akitoa hotuba kuhusiana na kuundwa kwa Jeshi hilo katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Post a Comment