ZITTO AMTAKA RAIS KUTUMIA MAMLAKA YAKE KUMTANGAZA MSHNDI, AMA KUTANGAZA HALI YA HATARI ZANZIBAR
www.habarika24.blogspots.com0
Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amemtaka rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kutangaza hali ya hatari visiwani Zanzibar, endapo suala la kurudia uchaguzi ama kutangazwa kwa mshindi wa kiti cha urais likishindikana.
Post a Comment