MEYA JERRY SILAA WA ILALA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

                                                                      Meya wa Ilala, Jerry Slaa
akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali
katika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM,

        Diwani wa  kata ya  Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akihutubia
           wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo
                             alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na
                                                           kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.

Mmoja wa wawakilishi wa kikundi cha akina mama akipokea fedha kwa niaba ya wenzake  kutoka kwa Meya wa Manispaa ya ilala  ambazo alikuwa amewaahidi wakati wa mkutano
wa  Meya huyo kuelezea mafanikio yake.

Baadhi ya madiwani na wazee wa Ukonga wakimpongeza Meya Jerry Slaa kwa kutimiza ahadi alizotoa muda mfupi baada ya kueleza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wake ambapo vilevile alitangaza nia ya kugombea Ubunge wa jimbo la Ukonga.
Baadhi ya madiwani na viongozi wa CCM kata ya Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano huo.

Post a Comment

Previous Post Next Post