ZITTO KABWE, AKAGUA SOKO KUU WILAYANI MASASI LILOTEKETEA KWA MOTO

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akisaidia kuzima moto ambao uliteketeza Soko Kuu la Masasi Mkoani Mtwara, usiku wa kuamkia jana wafanyabiashara zaidi ya 1000 wamepata hassara.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akimsikiliza Mwenyekiti wa Soko Kuu wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Abdallah Mandoma, lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana, mjini humo ambapo  chanzo cha moto huo kimeelezwa ni hitilafu ya umeme.

Post a Comment

Previous Post Next Post