RAIS KIKWETE AKUTANA NA KAIMU MUFTI MKUU WA TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO-JUNI 24,2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam leo.Juni 24,2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza  Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picjha ya kumbukumbu  na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry 
na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila Ikulu jijini Dar es salaam leo tarehe 24.06.2015
PICHA NA IKULU

Post a Comment

Previous Post Next Post