RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWAFUTURISHA WATOTO YATIMA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu-Juni 29, 2015.
picha na Freddy Maro  

Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu.

Post a Comment

Previous Post Next Post