Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akionesha kitabu cha Mwaka wa Sheria kama ishara ya uzinduzi wa kitabu
hicho samba samba na maadhimishoya siku ya Sheria Zanzibar(kulia) Jaji
Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mohamed Othman Chande (kushoto) na Waziri wa Katiba na Sheria
Abubakar Khamis Bakary(wa pili kushoto) ,[Picha na Ikulu.]
Jaji
Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mohamed Othman Chande (mbele) wakiongoza
maandamano wakati wa kilele cha siku ya Sheria Zanzibar sherehe
zilizofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini
Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Mahakimu na Wanasheria wakiwa katika maandamano
wakati wa kilele cha siku ya Sheria Zanzibar sherehe zilizofanyika leo
katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar ambapo mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Sheria
sherehe zilizofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja (kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande (kushoto) na Waziri wa katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary.
[Picha na Ikulu.]
Post a Comment