Muongozaji Maulidi ya
Mwembetanga kwa karagosi MC Imam Sadat Fadhil Abdullah akiongea
Mipangilio ya maulid kwa ratiba maalumu iliopangwa na wana kamati ya
maandalizi ya Maulidi hayo.
Wazee wa mtaa wa M/Tanga Hajji AbdulAziz na Sheik Ahmed wakiwa makini kusikiliza maulid ya Mtume Muhammad yalioandaliwa na vijana pamoja na wazee wa Mwembe Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar.
Waumini wa kiIslamu kutoka maeneo mbali mbali wakiwa katika maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yaliyoandaliwa na vijana pamoja na wazee wawa Mwembe Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar.

Post a Comment