Kiungo wa timu ya Simba,Amri Kiemba akuchuana vikali na
Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Andrey Coutinho wakati wa mtanange wa
watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania
Bara.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
PICHA ZOTE NA KWA HISANI YA OTHMAN MICHUZI.
PICHA ZOTE NA KWA HISANI YA OTHMAN MICHUZI.
Post a Comment