Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Joseph Mlola akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Asie na Wizara Maalum), Prof Mark Mwandosya alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye ibada ya kusimikwa kwa askofu huyo iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki Kigoma, jana.
Na Mpigapicha wetu- Kigoma
Na Mpigapicha wetu- Kigoma
Post a Comment